
Showing posts with label HABARI ZA AFRIKA. Show all posts
Showing posts with label HABARI ZA AFRIKA. Show all posts
Wednesday, January 15, 2025

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) jana lilitangaza kuahirisha Fainali za Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024 zinazoandaliwa k...
Tuesday, December 17, 2024
ADEMOLA LOOKMAN NA BABRA BANDA NDIO WANASOKA BORA AFRIKA 2024
Tuesday, December 17, 2024
MSHAMBULIAJI wa Atalanta ya Italia, Mnigeria, Ademola Lookman ameshinda Tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka Afrika kwa wanaume. Lookman amewaang...
Thursday, December 05, 2024
NDUGU WA MALAWI WAWANIA TUZO YA MWANASOKA BORA WA KIKE AFRIKA
Thursday, December 05, 2024
WANASOKA wawili ndugu wa Malawi, Tabitha na Temwa Chawinga wameingia kwenyen orodha ya mwisho ya wachezaji wanaowania Tuzo ya Mwanasoka Bora...
Sunday, November 24, 2024
TP MAZEMBE MALKIA WAPYA WA KABUMBU BARANI AFRIKA, FAR RABAT 'WAFA KISHUJAA'
Sunday, November 24, 2024
TIMU ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) jana ilifanikiwa kutwaa taji Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya ushi...
Tuesday, November 19, 2024
DIARRA, SIMBA NA YANGA ZATUPWA NJE TANO BORA YA TUZO CAF
Tuesday, November 19, 2024
KIPA wa Yanga na timu ya taifa ya Mali, Djigui Diarra kwa mara nyingine ameenguliwa kwenye orodha ya wachezaji watano wanaowani Tuzo ya Kipa...
Thursday, November 07, 2024
CAF YAONGEZA ZAWADI LIGI YA MABINGWA AFRIKA WANAWAKE
Thursday, November 07, 2024
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeongeza zawadi za ushiriki wa michuano ya Ligi ya Mabingwa kwa Wanawake barani kwa asilimia 52 na sasa li...
Saturday, October 26, 2024
NIGERIA WAPEWA USHINDI DHIDI YA LIBYA KUFUZU AFCPON 2025
Saturday, October 26, 2024
KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka (CAF) imeipa ushindi wa mabao 3-0 Nigeria dhidi ya Libya baada ya kuvunjika kwa mchezo wa Kundi D ku...
Friday, October 25, 2024
OSIMHEN AENGULIWA TUZO YA MWANASOKA BORA AFRIKA
Friday, October 25, 2024
MWANASOKA Bora wa Afrika, Victor Osimhen anayecheza kwa mkopo Galatasaray ya Uturuki kutoka Napoli ya Italia hayumo kwenye orodha ya awali y...
Thursday, October 24, 2024
TUZO ZA CAF KUTOLEWA MARRAKECH DESEMBA 16 MWAKA HUU
Thursday, October 24, 2024
TUZO za Shirikisho la Soka Afrika zitafanyika katika Jiji la kitalii, Marrakech nchini Morocco Desemba 16 mwaka huu 2024, taarifa ya CAF ime...
Tuesday, October 22, 2024
CAF YATANGAZA MAGEUZI MAKUBWA YA KIUCHUMI NA MKAKATI ZAIDI WA MAENDLEO
Tuesday, October 22, 2024
HASARA ndani ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imepungua kutoka Dola za Kimarekani Milioni 28.9 hadi Dola Milioni 9.2 kwa mwaka wa fedha wa...
Monday, October 21, 2024
RAIS WA CAF MOTSEPE AWAONGEZEA RUZUKU TFF NA CECAFA
Monday, October 21, 2024
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Dk. Patrice Motsepe ameongeza ruzuku kwa Vyama na Mashirikisho ya Soka Wanachama wake kutoka dola za...
Saturday, September 28, 2024
ZAMALEK WAIPIGA AL AHLY KWA MATUTA NA KUTWAA SUPER CUP YA AFRIKA
Saturday, September 28, 2024
TIMU ya Zamalek usiku wa jana imefanikiwa kutwaa taji la Super Cup ya Afrika baada ya ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya 1-1 na mahasim...
Friday, August 09, 2024
RAIS WA ZAMANI WA CAF ISSA HAYATOU AFARIKI DUNIA
Friday, August 09, 2024
RAIS wa zamani wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Mcameroon Alhaj Issa Hayatou, amefariki dunia jana Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa na ...
Sunday, July 21, 2024
RED ARROWS MABINGWA KOMBE LA KAGAME, AL HİLAL WA TATU
Sunday, July 21, 2024
TIMU ya Red Arrows ya Zambia imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame kwa ushindi w...
Saturday, July 20, 2024
NI APR NA RED ARROWS FAINALI KOMBE LA KAGAME 2024
Saturday, July 20, 2024
TIMU za APR ya Rwanda na Red Arrows ya Zambia jana zilifanikiwa kutinga Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe...
Wednesday, July 17, 2024
RED ARROWS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA KAGAME
Wednesday, July 17, 2024
BAO pekee la Anthony Shipanuka dakika ya 21 jana lilitosha kuipa ushindi wa 1-0 Red Arrows ya Zambia dhidi ya Telecom ya Djobouti katika mch...
Sunday, July 14, 2024
AL HILAL YAITANDIKA RED ARROWS 5-0, GOR MAHIA YAAMBULIA SARE KAGAME
Sunday, July 14, 2024
TIMU ya Al Hilal FC ya Sudan jana imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Red Arrows FC ya Zambia katika mchezo wa Kundi B Klabu Bingwa Af...
Saturday, July 13, 2024
AL AHLY KUUMANA NA ZAMALEK KATIKA SUPER CUP YA CAF SAUDIA ARABIA
Saturday, July 13, 2024
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dk Patrice Motsepe kwa pamoja na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Burudani ya Saudi Arabia (GEA), wamelitan...
APR YAENDELEZA UBABE KOMBE LA KAGAME, YAICHAPA EL MERREIKH 1-0
Saturday, July 13, 2024
BAO pekee la mshambuliaji wa Kimataifa wa Mauritania, Mamadou Sy dakika ya 70 jana lilitosha kuipa APR ya Rwanda ushindi wa 1-0 dhidi ya El ...
Thursday, June 27, 2024
NYOTA WA PSG, HAKIMI ATOA MISAADA ZAIDI YA SH. BILIONI 1 TANZANIA
Thursday, June 27, 2024
BEKI wa kimataifa wa Morocco anayechezea klabu ya PSG, Archraf Hakimi leo ametoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa wanafunzi zaidi ya 400 we...
Subscribe to:
Posts (Atom)